Joto La Ahsubuhi

MUSA GEORGE
GERALD HANDO
IRENE KILENGA
Kutoa Taarifambalimbali zilizotokea jana, au zinazotarajia kutokea kwa siku husika /Kuchambua Mijadala ambayo mtangazaji huianzisha ikiwa na lengo la kuelimisha/, mapitio ya magazeti ya siku na Kuburudisha kwa miziki mbalimbali inayoendana na muda huo.

Segments

1. Show Intro/Music (6:00am)
2. La Mgambo 1 (6:00am - 6:15am)
3. La Mgambo 2 (6:15am - 6.30am)
4. Jipu (6:45am - 6:50am)
5. Taarifa Ya Habari (7:00am - 7:10am)
6. Antenna (7:15am - 7:20am)
7. Kunyamvua Na Kunyumbulisha (7:35am - 7:50am)
8. Business News (8:00am - 8:05am)
9. Katikati ya Ususu (8:15am - 8:20am)
10. Songesha (8:30am - 8:35am)
11. Vuta Pumzi (8:40am - 8:45am)
12. Fimbo Chapa (8:45am - 8:50am)
13. Show Outro/Music (8:50am - 8:55am)