JOTO LA AHSUBUHI

Uchambuzi wa Magazeti

MUSIKI UNAONGEA

Shows

NEWS

Recent Posts

KUPIGA KELELE NI UCHAFUZI WA MAZINGIRA
Local News

Katika kukabiliana na uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na kelele serikali imewaelekeza  wamiliki wa maeneo ya burudani na starehe kuzingatia matumizi ya vipima kelele na vizuia sauti kama inavyoelekezwa kwenye masharti ya leseni zao. Hili ni kwa sababu ya kulinda...

Wednesday, 30 June 2021
6
988
0
WATOTO WAELEKEZWE MATUMIZI SAHIHI YA BARAKOA
Local News

“Watoto waelekezwe kuhusu matumizi ya barakoa, wajue namna ya kuzivaa, waelekezwe na mahali pa kuzitupa” Dkt Ama. Alikuwa anajibu maswali ya Dina Marious kuhusu madhaara ya Corona kwa watoto. Japo hawako kwenye hatari kubwa kama wazee, lakini mi muhimi walindwe. ....

Wednesday, 30 June 2021
3
972
0
CANADA: ONGEZEKO LA JOTO LAUA WATU 130
Slider

Watu zaidi ya 130 wamefariki nchini Canada kutokana na joto lisilo la kawaida kupiga ambalo limevunja rekodi ya kiwango cha joto. Polisi wa British Columbia wamepokea taarifa za vifo tangu Jumatatu, vifo vingi vikijumuisha wazee. Wanasema kiwango hicho cha joto kupiga...

Wednesday, 30 June 2021
3
1350
0
Hatma maombi ya kukamatwa Lissu Julai 14.
Local News

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam, inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ambao wanataka akamatwe ili wajitoe udhamini. Mahakama imetoa siku 7 kwa upande wa Jamhuri kuwasilisha majibu ya kiapo...

Thursday, 18 June 2020
4
1313
0
Rais Magufuli Atoa tamko la kutengewa eneo kwa Wafanyabiashara wadogo stendi mpya Dodoma.
Local News

Rais Magufuli ametoa agizo kwa Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi, kuhakikisha wafanyabiashara ndogondogo (Machinga), mama lishe pamoja na magari ya mizunguko mifupi jijini, (Daladala) kutengewa maeneo ya kufanya kazi katika stendi mpya ya kisasa Dodoma....

Thursday, 18 June 2020
6
1473
0

Website is Designed by Desy ErnestContact Us 0719955966.