Lullaby

JOHN BOSCO
Ni kipindi ambacho kinazungumzia hali halisi ya maisha kwa watu wazima, yakiwemo masualaya mahusiano ya kifamilia, wanandoa, wachumba n.k lakini pia kutoa burudani ya muziki kwa ajili ya kumsindikizia usingizi mnono msikilizaji wetu.

Segments

1. Opening (11:10pm - 11:13pm)
2. Music (11:13pm - 11:20pm)
3. Huduma ya Kwanza (11:20pm - 11:30pm)
4. Adverts and Music (11:30pm - 11:35pm)
5. Huduma ya kwanza (11:35pm - 11:45pm)
6. Music (11:45pm - 11:50pm)
7. Nyota njema (11:50pm - 12:00am)
8. Matangazo (12:00)
9. Muziki (12:00am - 12:20am)
10.Nyota Njema (12:20-12:30)
11.Muziki na Matangazo (12:30am - 12:40am)
12.Asubuhi Njema (12:40am - 12:50am) 13.Music (12:50am - 12:55am)
14.Kuhitimisha (12:55am - 01:00am)