Genge

SAMIO & FIDO
Kuelimisha/kuburudisha na kuwawezesha vijana kwakuwa tumevumbua na kuuendeleza muziki aina ya singeli ambao umeongeza ajira kwa vijana, Muziki huu awali ulionekana ni wa kihunilakini tumekutana mara kadhaa na vijana hao tukiwa na wadau mbalimbali wakiwemo TCRA, BASATA, TRA NA COSOTA ili kutoa elimu na kuwafanya wafanye muziki wenye tija kwao na kwa Taifa.

Segments

1. Kitimtim (8:00pm – 8:30pm)
2. Mtu Kati (8:30pm – 9:00pm)
3. Kijiwe Cha Genge (9:00pm – 9:30pm)
4. Sanuka (9:30pm – 9:00pm)
5. Kamusi Ya Genge (10:00pm – 10:30pm)
6. Andakalawe (10:30pm – 11:00pm)