Hairuhusiwi kulipia kilicho chako, Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya jiji la Morogoro. Limetembezwa wese bureeeee, Mziki Mnene pia utaenda bureeeee kila kitu ni bureeeeeeee #WeseBureMorogoro#MzikiMnene2018Morogoro#HatupoiHatuboi
Category: EVENTS
matukio yote ya burudani yanayofanywa na E-fm 93.7
-

Bahari ya burudani inaikumba morogoro jumamosi hii
Kwa kuwa mmeahidi mafuriko nasi watoa huduma wenu tunaileta bahari yani #Raha2Raha
#MzikiMnene2018Morogoro Hodiiiiii hapooo #HatupoiHatuboi#MzikiMnene2018MorogoroHakuna kiingilio. #HatupoiHatuboi
-

MATUKIO KWA PICHA, SHIKA NDINGA PWANI 93.7

Swebe Akichimba Mashimo kwa ajili ya Kuweka Alama ndani ya uwanja wa mapambano 
Team ya EFM ikiandaa kiwanja kwa ajli ya kushika ndinga ndani ya viwanja vya Bwawani Kibaha Team ya Efm imewasili salama kwenye viwanja hivi vya Bwawani, Kibaha, na Maandalizi yanaanza
Washiriki wanaanza kupewa semina kuwa tayari kuingia kwenye mpambano wa kushika ndinga.

Washiriki waliofika katika viwanja hivi vya Bwawani wakiwa tayari kuanza mpambano wa kushika ndinga 
Washiriki waliofika katika viwanja hivi vya Bwawani wakiwa tayari kuanza mpambano wa kushika ndinga 
Watu wa huduma ya kwanza wakiwa tayari kutoa huduma ya kwanza kwa yeyote atakayepatwa na tatizo kwenye eneo hili la Bwawani kibaha, kushika ndinga # Tunapindua Meza Kibabe 
Wananchi walio wahi mapema kabisa kushuhudia watu wakishika ndinga hapa hapa kwenye viwanja vya Bwawani, Kibaha Kiwanja ambacho cha kushindanisha washiriki kipo tayari na sasa muda wowote kuto muda huu zoezi la kushika ndinga linakwenda kuanza # tunapindua meza kibabe

Jeshi la polisi likitoa usalama wa wananchi walifika kushuhudia watu wakishika ndinga 
Kila kitu kipo sawa muda wowote tunaanza zoezi la kushika ndinga 
Kwenye Mashine ya Muziki anayetuburudisha kwenye viwanja hivi vya Bwawani Kibaha yupo RDJ AUTO RUN, Akitupa Visingeli 
Timu yetu ya TV E wakiaweka mazingira mazuri kwa ajili ya kuchukua maukio yote yanayojili hapa kwenye viwanja hvi vya Bwawani Kibaha Mpambano wa kushindanisha washindi umeshaanza na washiliki wamenza na zoezi la kujaza maji, hivyo tunasubiri matokeo kutoka kwa majaji, nani atatoka na nani atandelea na mpambano.
Matokeo ya Majaji yanatoa uamuzi kwamba Mshiriki Abdallah Mohamed, Ramadhani, Ima Lukindo wameaga mashindano baada ya kuwa na point chache ukilinganisha na point za wengine.

Wananchi wakishuhudia mpambano mkali wa kutafuta washindi wa shika ndinga 2018 
TTCL wakitoa huduma ya kuwapatia wananchi wa pwani line za bure na muda wa maongezi 
Vilainishi vya Shell Advance wakitoa huduma kwa wananchi waliojitokeza eneo hilo 
Baadhi ya Watu waliopanda juu ya miti ili waweze kuangalia kinachotokea 
Muda wa kumtafuta wa kuchukua bodaboda. ..
-

MATUKIO KWA PICHA, SHIKA NDINGA 103.3 MBEYA 2018
-

SHIKA NDINGA MBEYA 2018
Hatua za awali za ukaguzi wa uwanja ambao utatumika kubadilisha maisha ya wamiliki wa namba kubwa 103.3 Mbeya na kuwaongezea thamani kwa mtaji wa sikio tu.
#ShikaNdinga2018Mbeya #TunapinduaMezaKibabe -

SHIKA NDINGA 2018 TANGA
Kutoka kaskazini mwa Tanzania kwenye mji wenye mahaba tele tumekuja kuongeza thamani ya maisha kwa wakazi wa 88.9 #ShikaNdinga2018Tanga#TunapinduaMezaKibabe
#Hatupoi Tukiwa nyumbani 88.9 Tanga waja leo wabaki milele.
Huu ndio muonekano wa leo kwenye uwanja wa Lamore mahali ambapo akili nyingi itatumika na nguvu kiasi kuweza kuwachuja washiriki watakaokwenda kushika ndinga jukwaani.
#ShikaNdinga2018Tanga#TunapinduaMezaKibabe
Tukiwa karibu nawe kwa namba 88.9 Tanga ndugu zetu wa @ttcl_corporation wanatupa uthubutu zaidi na habari njema ni kwamba *150*71# ndio namba yako ya kipesa kukuwezesha kununua umeme ili uendelee kusikiliza E-fm na kutazama @tvetanzania
#RudiNyumbaniKumenoga -

SHIKA NDINGA; 88.9 TANGA HODI HAPOOOH.

Timu ya wafanyakazi wa Efm na Tv E ilipo wasili katika uwanja wa Ramore Tanga kwaajili ya shindano la SHIKA NDINGA litakalofanyika kesho April 14 2018. 
Picha ya pamoja wafanyakazi wa Efm & Tv E na TTCL Mara baada ya kuwasili katika mkoa wa Tanga na kufanya ziara fupi kwenye ofisi za TTCL mkoani hapa.










































































