Ukurasa wa pili unafunuliwa hapa mkwakwani 88.9 tanga.






Utaratibu wa uwezeshaji wa msikilizaji wa namba ya matumaini 92.5 Efm Dodoma umeendelea kwa kuwagawia mafuta (petrol) bure waendesha pikipiki ya magurudumu matatu (Bajaji) na pikipiki (bodaboda)
Matukio kwa picha

Hii ndio njia pekee inayotumika kwenye kusaka vipaji vya wasanii wa Singeli Pale ambapo Team ya Efm Radio inapofika Mkoani iki kuhamasisha vijana na kukuza vipaji walivyo navyo badala ya kujihisisha na makundi ya uhalifu
Leo baaaya ya Jogging ya Asubuhi sana kwenye viwanja vya Jamhuri vipaji vya vijana kutoka sehemu mbali mbali za Mji wa Mororgoro walijitokeza kwa wingi na kuonyesha uwezo walionao

Hairuhusiwi kulipia kilicho chako, Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya jiji la Morogoro. Limetembezwa wese bureeeee, Mziki Mnene pia utaenda bureeeee kila kitu ni bureeeeeeee #WeseBureMorogoro#MzikiMnene2018Morogoro#HatupoiHatuboi