Tag: Philippe Coutinho

  • PHILIPPE COUNTINHO AUSHAWISHI UONGOZI WA BARCELONA KUMRUDISHA NEYMAR

    PHILIPPE COUNTINHO AUSHAWISHI UONGOZI WA BARCELONA KUMRUDISHA NEYMAR

    Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Philippe Coutinho anasema kuwa angependelea mshambuliaji wa Brazil mwenye umri wa miaka 26 Neymar kurudi Barcelona. Neymar alijiunga na PSG kutokea Barca kwa dau lililovunja rekodi la £198m mwisho wa msimu uliopita na kupelekea Barcelona kumsajili Coutinho, amabapo kwa sasa ameweza kufiti katika timu hiyo ya Nou Camp.