Category: Shika Ndinga

  • shika ndinga 2019

    shika ndinga 2019

    SWALI: Kama kwa siku anaingiza kiasi cha 30,000/=Tsh ambayo kwa mwezi ni sawa na 900,000/=Tsh Je kwa mwaka atakuwa ametengeneza kiasi gani cha pesa?

    Huyu ni Michael Peter Mshiriki na mshindi wa #ShikaNdinga2017 Kwa mtaji wa sikio tu wiki hii mkazi wa DSM yaweza kuwa zamu yako.

  • Waziri Mwakyembe Anogesha final ya Shika Ndinga 2018

    Waziri Mwakyembe Anogesha final ya Shika Ndinga 2018

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi wa kilele cha shindano la Shika Ndinga 2018 akionyesha mfano wa kushika ndinga kwa washiriki
    kutoka Kushoto Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ambaye ndiye alikuwa Mgeni rasmi wa kilele cha shindano la Shika Ndinga 2018 akifuatiwa na Meneja Mkuu E-fm & Tv E, Dennis Ssebo pamoja na Mhariri Mkuu Vipindi vya Redio na Tv E Scholastica Mazula wakiwa kwenye meza kuu

     

  • Kinachoendele Viwanja wa Tanganyika Packers Shika Ndinga 2018

    Kinachoendele Viwanja wa Tanganyika Packers Shika Ndinga 2018

    Uwanja wa Mapambano
    Wananchi waliojitokeza kwenye Final ya Shika ndinga 2018
    Wananchi
    Eneo la Muziki unaotea kwenye Viwanja hivi Tanganyika Peckers, amabapo final ya Shika ndinga 2018 inafanyika
    Rdj Auto Run kwenye mashine ya Burudani
  • Habari Picha Efm Jogging Final Shika Ndinga 2018

    Habari Picha Efm Jogging Final Shika Ndinga 2018

    Meneja Rasilimali watu wa Efm akiwa ni miongoni mwa walioshiriki katika Jogging kwenye final ya Shika Ndinga 2018 iliyofanyika viwanja vya Tanganyika Peckers
  • Efm  FC Yaendeleza  ubabe kwa Bongo Fleva FC, Yaitandika bao 1-0

    Efm FC Yaendeleza ubabe kwa Bongo Fleva FC, Yaitandika bao 1-0

    Wachezaji wa Bongo fleva wakiwa tayari kuingia uwanjani
    Malekezo ya kocha yakitolewa kwa wachezaji wa Bongo fleva Fc  muda wa kipindi cha mapumziko.
    Kapteni wa Bongo fleva, Papii Kocha akitoa maelekezo kwa wachezaji wenzake
    Msaga sumu, na Stamina wakiwa na wafanyakazi wa Efm, wa kwanza kulia, Swebe Santana(Mtangazaji wa Kipindi cha Uhondo), na wa kwanza kushoto na Stiven Magombeka(mkuu wa Kitengo cha Digital)
    Mechi ikiendelea
    Mashabiki wa Bongo fleva Fc
    Mchezaji wa Bongo Fleva, akikokota mpira

    Efm imeendeleza ubabe kwa Bongofleva kwa kuwatandika bao 1-0, mchezo huo uliopigwa kwenye viwanja vya Tanganyika Peckers ambapo kulikuwa na final ya Shika ndinga 2018.

     

  • MATUKIO KWA PICHA, SHIKA NDINGA PWANI 93.7

    MATUKIO KWA PICHA, SHIKA NDINGA PWANI 93.7

    Swebe Akichimba Mashimo kwa ajili ya Kuweka Alama ndani ya uwanja wa mapambano
    Team ya EFM ikiandaa kiwanja kwa ajli ya kushika ndinga ndani ya viwanja vya Bwawani Kibaha

     

    Team ya Efm imewasili salama kwenye viwanja hivi vya Bwawani, Kibaha, na Maandalizi yanaanza

    Washiriki wanaanza kupewa semina kuwa tayari kuingia kwenye mpambano wa kushika ndinga.

    Washiriki waliofika katika viwanja hivi vya Bwawani wakiwa tayari kuanza mpambano wa kushika ndinga
    Washiriki waliofika katika viwanja hivi vya Bwawani wakiwa tayari kuanza mpambano wa kushika ndinga
    Watu wa huduma ya kwanza wakiwa tayari kutoa huduma ya kwanza kwa yeyote atakayepatwa na tatizo kwenye eneo hili la Bwawani kibaha, kushika ndinga # Tunapindua Meza Kibabe
    Wananchi walio wahi mapema kabisa kushuhudia watu wakishika ndinga hapa hapa kwenye viwanja vya Bwawani, Kibaha

    Kiwanja ambacho cha kushindanisha washiriki kipo tayari na sasa muda wowote kuto muda huu zoezi la kushika ndinga linakwenda kuanza # tunapindua meza kibabe

    Burudani ikiendelea katika viwanja hivi vya Bwawani, Kibaha,

    Jeshi la polisi likitoa usalama wa wananchi walifika kushuhudia watu wakishika ndinga
    Kila kitu kipo sawa muda wowote tunaanza zoezi la kushika ndinga
    Kwenye Mashine ya Muziki anayetuburudisha kwenye viwanja hivi vya Bwawani Kibaha yupo RDJ AUTO RUN, Akitupa Visingeli
    Timu yetu ya TV E wakiaweka mazingira mazuri kwa ajili ya kuchukua maukio yote yanayojili hapa kwenye viwanja hvi vya Bwawani Kibaha

    Mpambano wa kushindanisha washindi umeshaanza na washiliki wamenza na zoezi la kujaza maji, hivyo tunasubiri matokeo kutoka kwa majaji, nani atatoka na nani atandelea na mpambano.

    Matokeo ya Majaji yanatoa uamuzi kwamba Mshiriki Abdallah Mohamed, Ramadhani, Ima Lukindo wameaga mashindano baada ya kuwa na point chache ukilinganisha na point za wengine.

    Wananchi wakishuhudia mpambano mkali wa kutafuta washindi wa shika ndinga 2018
    TTCL wakitoa huduma ya kuwapatia wananchi wa pwani line za bure na muda wa maongezi
    Vilainishi vya Shell Advance wakitoa huduma kwa wananchi waliojitokeza eneo hilo
    Baadhi ya Watu waliopanda juu ya miti ili waweze kuangalia kinachotokea
    Muda wa kumtafuta wa kuchukua bodaboda.

    ..

  • SHIKA NDINGA MBEYA 2018

    SHIKA NDINGA MBEYA 2018

    Hatua za awali za ukaguzi wa uwanja ambao utatumika kubadilisha maisha ya wamiliki wa namba kubwa 103.3 Mbeya na kuwaongezea thamani kwa mtaji wa sikio tu.
    #ShikaNdinga2018Mbeya #TunapinduaMezaKibabe

  • SHIKA NDINGA 2018 TANGA

    SHIKA NDINGA 2018 TANGA

    Kutoka kaskazini mwa Tanzania kwenye mji wenye mahaba tele tumekuja kuongeza thamani ya maisha kwa wakazi wa 88.9 #ShikaNdinga2018Tanga#TunapinduaMezaKibabe

    #Hatupoi Tukiwa nyumbani 88.9 Tanga waja leo wabaki milele.

    Huu ndio muonekano wa leo kwenye uwanja wa Lamore mahali ambapo akili nyingi itatumika na nguvu kiasi kuweza kuwachuja washiriki watakaokwenda kushika ndinga jukwaani.
    #ShikaNdinga2018Tanga#TunapinduaMezaKibabe

    Tukiwa karibu nawe kwa namba 88.9 Tanga ndugu zetu wa @ttcl_corporation wanatupa uthubutu zaidi na habari njema ni kwamba *150*71# ndio namba yako ya kipesa kukuwezesha kununua umeme ili uendelee kusikiliza E-fm na kutazama @tvetanzania
    #RudiNyumbaniKumenoga

  • SHIKA NDINGA; 88.9 TANGA HODI HAPOOOH.

    SHIKA NDINGA; 88.9 TANGA HODI HAPOOOH.

    Timu ya wafanyakazi wa Efm na Tv E ilipo wasili katika uwanja wa Ramore Tanga kwaajili ya shindano la SHIKA NDINGA litakalofanyika kesho April 14 2018.
    Picha ya pamoja wafanyakazi wa Efm & Tv E na TTCL Mara baada ya kuwasili katika mkoa wa Tanga na kufanya ziara fupi kwenye ofisi za TTCL mkoani hapa.