Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi wa kilele cha shindano la Shika Ndinga 2018 akionyesha mfano wa kushika ndinga kwa washiriki kutoka Kushoto Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ambaye ndiye alikuwa Mgeni rasmi wa kilele cha shindano la Shika Ndinga 2018 akifuatiwa na Meneja Mkuu E-fm & Tv E, Dennis Ssebo pamoja na Mhariri Mkuu Vipindi vya Redio na Tv E Scholastica Mazula wakiwa kwenye meza kuu
Uwanja wa MapambanoWananchi waliojitokeza kwenye Final ya Shika ndinga 2018WananchiEneo la Muziki unaotea kwenye Viwanja hivi Tanganyika Peckers, amabapo final ya Shika ndinga 2018 inafanyikaRdj Auto Run kwenye mashine ya Burudani
Meneja Rasilimali watu wa Efm akiwa ni miongoni mwa walioshiriki katika Jogging kwenye final ya Shika Ndinga 2018 iliyofanyika viwanja vya Tanganyika Peckers
Swebe Akichimba Mashimo kwa ajili ya Kuweka Alama ndani ya uwanja wa mapambanoTeam ya EFM ikiandaa kiwanja kwa ajli ya kushika ndinga ndani ya viwanja vya Bwawani Kibaha
Team ya Efm imewasili salama kwenye viwanja hivi vya Bwawani, Kibaha, na Maandalizi yanaanza
Washiriki wanaanza kupewa semina kuwa tayari kuingia kwenye mpambano wa kushika ndinga.
Washiriki waliofika katika viwanja hivi vya Bwawani wakiwa tayari kuanza mpambano wa kushika ndingaWashiriki waliofika katika viwanja hivi vya Bwawani wakiwa tayari kuanza mpambano wa kushika ndingaWatu wa huduma ya kwanza wakiwa tayari kutoa huduma ya kwanza kwa yeyote atakayepatwa na tatizo kwenye eneo hili la Bwawani kibaha, kushika ndinga # Tunapindua Meza KibabeWananchi walio wahi mapema kabisa kushuhudia watu wakishika ndinga hapa hapa kwenye viwanja vya Bwawani, Kibaha
Kiwanja ambacho cha kushindanisha washiriki kipo tayari na sasa muda wowote kuto muda huu zoezi la kushika ndinga linakwenda kuanza # tunapindua meza kibabe
Burudani ikiendelea katika viwanja hivi vya Bwawani, Kibaha,
Jeshi la polisi likitoa usalama wa wananchi walifika kushuhudia watu wakishika ndingaKila kitu kipo sawa muda wowote tunaanza zoezi la kushika ndingaKwenye Mashine ya Muziki anayetuburudisha kwenye viwanja hivi vya Bwawani Kibaha yupo RDJ AUTO RUN, Akitupa VisingeliTimu yetu ya TV E wakiaweka mazingira mazuri kwa ajili ya kuchukua maukio yote yanayojili hapa kwenye viwanja hvi vya Bwawani Kibaha
Mpambano wa kushindanisha washindi umeshaanza na washiliki wamenza na zoezi la kujaza maji, hivyo tunasubiri matokeo kutoka kwa majaji, nani atatoka na nani atandelea na mpambano.
Matokeo ya Majaji yanatoa uamuzi kwamba Mshiriki Abdallah Mohamed, Ramadhani, Ima Lukindo wameaga mashindano baada ya kuwa na point chache ukilinganisha na point za wengine.
Wananchi wakishuhudia mpambano mkali wa kutafuta washindi wa shika ndinga 2018TTCL wakitoa huduma ya kuwapatia wananchi wa pwani line za bure na muda wa maongeziVilainishi vya Shell Advance wakitoa huduma kwa wananchi waliojitokeza eneo hiloBaadhi ya Watu waliopanda juu ya miti ili waweze kuangalia kinachotokeaMuda wa kumtafuta wa kuchukua bodaboda.