Category: Video

  • NEW VIDEO: JUX ONE MORE NIGHT

    NEW VIDEO: JUX ONE MORE NIGHT

    Video hii imeongozwa na Justin Campos

  • VIDEO: VANESSA – NEVER EVER

    VIDEO: VANESSA – NEVER EVER

    Vanessa ameshinda tuzo ya Best Female East Africa kwenye Tuzo za AFRIMMA

    Unaweza kuitazama video ya wimbo mpya wake mpya hapa

  • NEW VIDEO: WASWAZI FT RICH MAVOKO – NAKOSA IMANI

    NEW VIDEO: WASWAZI FT RICH MAVOKO – NAKOSA IMANI

    Wimbo mpya kutoka kundi la Waswazi waliomshirikisha Rich Mavoko

    Song Nakosa Imani

    Producer Abba Process

    Video directed by Adam Juma

     

  • TYRESE: WAZUNGU NI WABAGUZI HAWATOPIGA WIMBO WANGU

    TYRESE: WAZUNGU NI WABAGUZI HAWATOPIGA WIMBO WANGU

    Mkali wa r&b kutoka Marekani ambae pia ni muigizaji wa wa movie ya Fast and Furious Tyrese amevifungukia vyombo vya habari vinavyomilikiwa na watu weupe nchini humo kuwa na ubaguzi wa rangi.

     

    Tyres amesema kuwa redio hizo zinapiga nyimbo za R&B/Soul ambazo zimeibwa na watu weupe tu lakini sio watu weusi ambao kimsingi ndio wanafanya vizuri kwenye chart za muziki huo akiwemo yeye mwenyewe ambae albamu yake imeshika namba moja kwenye chart za muziki wa R&B/Soul album.

     

    Tyrese amefunguka kuwa hawezi kuupeleka wimbo wake wake mpya “Shame” kwenye vituo vya watu hao kwani hawatoucheza labda  angeimbwa na Justin Timberlake, Sam Smith ama Robin Thicke.

  • NEW VIDEO: NEY LEE – MBUYU

    NEW VIDEO: NEY LEE – MBUYU

    https://youtu.be/bjzSTR4B_cA

  • NEW VIDEO: BRACKET FT TEKNO – PANYA

    NEW VIDEO: BRACKET FT TEKNO – PANYA

    Video imeongozwa na Patrick Elis.

  • THE GAME: BADO NATUMIA MKWANJA WA G-UNIT

    THE GAME: BADO NATUMIA MKWANJA WA G-UNIT

    Rapa The Game ambae hapo nyuma aliwahi kuwa member wa kundi la G-Unit amesema kuwa richa ya yeye kutokuwepo kwenye kundi hilo kwa sasa lakini bado anatumia mafanikio anayoyapata kifedha kutokana na kazi za kundi hilo.

    Akiongea wakati wa hafla ya awali kabla ya tuzo za BET kufanyika amesema “Nina dola milioni 30n mfukoni bado natumia mkwanja kutoka G-Unit richa ya kutosikika kwenye redio “.

    The Game amekuwa na mahusiano mabaya na boss wa kundi hilo 50 Cent nah ii ni moja kati ya sababu zilizofanya asihusike pindi kundi hilo lilipoundwa tena.

    https://youtu.be/lTKMc25j0A4

  • NEW VIDEO: DREAM AMECHELEWA

    NEW VIDEO: DREAM AMECHELEWA

    Video imeongozwa na Adam Juma

    Audio produced by Abbah

    Studio: Vipaji Tz

  • NEW VIDEO: DIAMOND FT MR FLAVOUR – NANA

    NEW VIDEO: DIAMOND FT MR FLAVOUR – NANA

     

    Diamond ameachia rasmi video ya wimbo aliomshirikisha Mr Flavour – NaNa

    Audio imeandaliwa na Nahreal

    Video imeongozwa na God Father

     

  • NEW VIDEO: LINEX FT DIAMOND SALIMA

    NEW VIDEO: LINEX FT DIAMOND SALIMA

    Video imetayarishwa na Adam Juma

  • NEW VIDEO: OMMY DIMPOZ WANJERA

    NEW VIDEO: OMMY DIMPOZ WANJERA

    Haya ndio majibu ya maswali ya muda mrefu kuhusu picha za mahaba zilizokuwa zikisambazwa na kuzua maswali iwapo kuna ukweli kwamba Ommy Dimpoz na Wema ni wapenzi. mbali na wema mshindi wa BBA Hotshot pia Idris Sultan ameshiriki kwenye video hiyo

    Huu ni wimbo mpya wa Dimpozi video imefanywa na kampuni ya Godfather huko Afrika kusini