JAMII YATAKIWA KUKUMBUKA WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU NA HATARISHI

Written by

in

,

JAMII YA WATANZANIA imeaswa kuikumbuka Jamii ya Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na hatarishi waliopo katika vituo mbalimbali nchini kwa kukaa nao ili kuwapa matumaini na kuwarejeshea furaha.

Wito huo umetolewa na hivi karibuni na Mkurugenzi wa Kampuni ya Communication Media ROBERT FRANCIS wakati akizungumza na Watoto wanaoishi katika mazingira hatarishiwakati wa Kampeni ya Ushindi inayowakutanisha Watoto Yatima zaidi ya 50.