IAN SNOOK ATUA KENYA: RUGBY

Written by

in

Ian Snook
The Simbas #KenyaXV’s

Chama cha mchezo wa Rugby nchini Kenya kimemteuwa Ian Snook toka New Zealand kuwa kocha mkuu wa timu ya #KenyaXV’s “The Simbas” Akichukuwa nafasi ya Jerome Roulstone amabaye nae ni raia wa New Zealand