Efm FC Yaendeleza ubabe kwa Bongo Fleva FC, Yaitandika bao 1-0

Wachezaji wa Bongo fleva wakiwa tayari kuingia uwanjani
Malekezo ya kocha yakitolewa kwa wachezaji wa Bongo fleva Fc  muda wa kipindi cha mapumziko.
Kapteni wa Bongo fleva, Papii Kocha akitoa maelekezo kwa wachezaji wenzake
Msaga sumu, na Stamina wakiwa na wafanyakazi wa Efm, wa kwanza kulia, Swebe Santana(Mtangazaji wa Kipindi cha Uhondo), na wa kwanza kushoto na Stiven Magombeka(mkuu wa Kitengo cha Digital)
Mechi ikiendelea
Mashabiki wa Bongo fleva Fc
Mchezaji wa Bongo Fleva, akikokota mpira

Efm imeendeleza ubabe kwa Bongofleva kwa kuwatandika bao 1-0, mchezo huo uliopigwa kwenye viwanja vya Tanganyika Peckers ambapo kulikuwa na final ya Shika ndinga 2018.

 

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *