Author: EFM

  • TOYOTA YAAGIZA MAGARI MILIONI MOJA YARUDISHWE KIWANDANI

    TOYOTA YAAGIZA MAGARI MILIONI MOJA YARUDISHWE KIWANDANI

    toy_showroom_lg

    Kampuni kubwa zaidi ya kuunda magari, Toyota, imeagiza kurejeshwa kwa magari milioni moja nukta saba kote duniani kutokana na hitilafu ya breki za magari hayo.

    Kampuni hiyo imesema hitilafu tatu zimetambulika kwenye breki katika miundo mbali mbali za magari ya Toyota ikiwemo muundo wa Lexus.

    Magari yaliyo ndani na nje ya Japan yote yameathiriwa na hitilafu hizo.

    Hata hivyo kampuni yenyewe imesema haina habari yoyote kuhusu ajali za magari au watu kujeruhiwa kutokana na hitilafu hizo.

    Wadadisi wanasema hili ni jambo la kuaibisha sana kwa Toyota ambayo imelazimika kuagiza magari yake kurejeshwa kiwandani zaidi ya mara moja kutokana na hitilafu mbali mbali.

     

  • BET YAZINDUA TAMTHILIA MPYA ILIYOPEWA JINA LA THE BOOK OF NEGROES

    BET YAZINDUA TAMTHILIA MPYA ILIYOPEWA JINA LA THE BOOK OF NEGROES

    Black entertainment television (BET) imezindua tamthilia mpya ya The book of negroes

     Cuba Gooding Jnr, amecheza kama star wa tamthilia hiyo ambayo ni stori kutoka kwenye kitabu kilichoandikwa na Lawrence Hill.

    Wakati Aminata Diallo amecheza kama msichana kutoka Afrika ya magharibi alieuzwa utumwani huko South Carolina na baadae kupambana kupitia mapinduzi ya bara la America kujipatia uhuru wake mwanzoni mwa karne ya kumi na tisa (19)

    Book-of-Negroes-BET-1

    Book-of-Negroes-BET-1-600x421

    Book-of-Negroes-BET-3-600x337

  • WAKAZI WA KIMARA MICHUNGANI WAPO HATARINI KUKUMBWA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

    WAKAZI WA KIMARA MICHUNGANI WAPO HATARINI KUKUMBWA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

    BAADHI ya wakazi wa eneo la Michungani Kimara Jijini Dar es salaam wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko baada ya Mto unaopita karibu na nyumba zao kutiririshwa maji machafu ambayo yamechanganyika na harufu kali inayotoka machinjio ya Kimara katika eneo hilo.

    Wakizungumza na EFM wakazi hao wamesema kuwa kutokana na hali hiyo wanalazimika kuwafungia ndani watoto wao ili kuwaepusha na madhara mbalimbali ya ki afya

    Wanananchi…Kimara

    Hata hivyo kituo hiki kilizungumza na Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Makaroni bwana Musa Mohamed Chuma….

    Uongozi wa Mtaaa

  • JAMII IMETAKIWA KUACHANA NA DHANA POTOFU KWENYE MASUALA YA AFYA ZA WATOTO

    JAMII IMETAKIWA KUACHANA NA DHANA POTOFU KWENYE MASUALA YA AFYA ZA WATOTO

    JAMII imetakiwa kuachana na dhana potofu ya kuwakata watoto Kimeo na badala yake wawapeleke hospital kuangalia afya zao.

    Hayo yamebainishwa na DR SALEHE NGOLE wakati akizungumza na E Fm jijini Dar es salaam na kusema kuwa ukataji wa kimeo kwa njia ya kienyeji ni kinyume kiafya hivyo kunaweza kumsababishia mgonjwa, madhara na badala yake wawapeleke hospital kwaajili ya matibabu zaidi…

    JAMII-IKIWA-HOSPITAL-KLINIKI

     

     

  • CHADEMA YAKUTANA KUJADILI MAAZIMIO 11 YA KIKAO CHA PILI

    CHADEMA YAKUTANA KUJADILI MAAZIMIO 11 YA KIKAO CHA PILI

    KAMATI ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA imekutana kujadili maazimio 11 ya kikao cha pili ya chama hicho.

    Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa kamati kuu ya Chadema Mheshimiwa FREEMAN MBOWE amesema kuwa miongoni mwa mambo yatakayojadiliwa na kamati hiyo ni pamoja na uteuzi wa bodi ya wadhamini wa chama hicho…

    zaidi Mh. Mbowe amesema

     

  • RAIS MUSEVEN AIGHARAMIA UGANDA CRANES

    RAIS MUSEVEN AIGHARAMIA UGANDA CRANES

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amegharamia safari ya timu ya soka ya taifa Uganda Cranes kwenda Togo, kucheza mechi ya marudiano siku ya jumatano ya kufuzu kucheza fainali ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2015 kundi E.

    Rais Museveni amewapatia dolla laki moja na efu arobuni kusafirisha timu ya Uganda Cranes kwenda Togo kwa mechi ya Jumatano.

    Hicho ni kikosi cha Uganda Cranes kilichovalia jezi nyekundu yaani yenye kuishia 42 na yenye 40 ni Togo.

    Katika mechi ya jumamosi Uganda Cranes ilinyamazishwa na Togo kwa bao 1 kwqa nunge hivyo Uganda wanahitaji ushindi mechi ya Jumatano kuongeza matumaini ya nafasi ya kushiriki fainali ya kombe la Afrika mwaka 2015 nchini Morocco.

    Katika kundi hilo E Ghana ndiyo wanaongoza na alama 5 wakifatiwa na Uganda alama 4, Ginea alama 4 na Togo alama 3

    Uganda-Cranes
    Uganda-Cranes
  • MFANYAKAZI WA UN ALIEAMBUKIZWA EBOLA AFARIKI UJERUMANI

    MFANYAKAZI WA UN ALIEAMBUKIZWA EBOLA AFARIKI UJERUMANI

    Madaktari katika hospitali ya Leipzig wamesema mtu huyo mwenye umri wa miaka 56, alifariki dunia mapema Jumanne asubuhi.

    Mlipuko huo umeua zaidi ya watu 4,000 tangu mwezi Marchi, mwaka huu hususan katika nchi za Liberia, Sierra Leone, Guinea na Nigeria.

    Shirika la Afya Duniani limeuelezea ugonjwa huo kama tatizo la dharura la kiafya kuwahi kuonekana katika maisha ya sasa ya binadamu. Marekani na Uingereza ni miongoni mwa nchi zilizoanzisha utaratibu wa upimaji afya za abiria kuhusiana na ugonjwa wa Ebola katika viwanja vya ndege.

    Mtu huyo alikuwa akifanyakazi kama afisa wa afya wa Umoja wa Mataifa nchini Liberia- moja ya nchi zilizoathirika zaidi na maambukizi ya ugonjwa huo Afrika Magharibi- wakati alipoambukizwa Ebola.

    Upimaji wa hali ya joto mwilini

    Aliwasili Ujerumani Alhamisi iliyopita kwa ajili ya matibabu na aliwekwa katika kitengo maalum cha uangalizi.

    “Licha ya matibabu ya kina na jitihada za hali ya juu za madaktari katika kumhudumia mwaajiriwa huyo wa Umoja wa Mataifa, hawakuweza kunusuru maisha yake kutokana na maambukizo makubwa”. Imesema taarifa kutoka hospitali ya St Georg.

    Wafanyakazi wa Afya wako katika hatari kubwa ya maambukizo.

  • TAZAMA PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO YA AY NA SEAN KINGSTON

    TAZAMA PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO YA AY NA SEAN KINGSTON

    Msanii kutoka Tanzania Abwene Yesaya marufu kama Ay ameanza kushoot video ya ngoma yake aliyomshirikisha Sean kingston huko Marekani

    AY-US2
    Ay akiwa na Sean kingston

    ay..

     

     

  • CRIS BROWN ATAJWA KAMA MSANII ANAEWANIA VIPENGELE VINGI KWENYE SOUL TRAIN AWARDS 2014

    CRIS BROWN ATAJWA KAMA MSANII ANAEWANIA VIPENGELE VINGI KWENYE SOUL TRAIN AWARDS 2014

    Mkali wa r&b Cris brown ambae amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii kufuatia maoni yake juu ya ugonjwa wa Ebola.

    Cris Brown ametajwa kama msanii anaewania tuzo kwenye vipengele vingi kama msanii anaejitegemea akifatiwa na Beyonce ambae ametajwa mara sita pamoja na Pharell aliyetajwa mara tano.

    na hizi ndizo sehemu anazowania : ‘Best Hip-Hop Song Of The Year’ for “Loyal” featuring Lil Wayne and Tyga; ‘Best R&B/Soul Male Artist’; ‘Song Of The Year’ for “Loyal” featuring Lil Wayne and Tyga; ‘Best Dance Performance’  for “Loyal” featuring Lil Wayne and Tyga; ’Best Collaboration’ for “Loyal” featuring Lil Wayne and Tyga and “New Flame” featuring Usher and Rick Ross; ’Video Of The Year’ for “New Flame” featuring  Usher (Breezy & Mike Ho).

    tuso hizo ambazo zitashereheshwa na Wendy Williams zinatarajiwa kufanyika Orleans Arena huko Las Vegas  Oct. 7 mwaka huu.

    Tazama orodha nyingine hapa

    Best New Artist
    August Alsina
    Jhené Aiko
    LiV Warfield
    Mack Wilds
    Nico & Vinz

    Sevyn Streeter Centric Certified Award
    Avery Sunshine
    Kelis
    Leela James
    Luke James
    Robert Glasper
    Shaliek

    Best Gospel/Inspirational Song
    “Help” – Erica Campbell feat. Lecrae
    “I Can Only Imagine” – Tamela Mann
    “No Greater Love” – Smokie Norful
    “Real Love” – Inspired People feat. Charles Jenkins
    “Say Yes” – Michelle Williams feat. Beyoncé & Kelly Rowland
    “We Are Victorious” – Donnie McClurkin feat. Tye Tribbett

    Best Hip-Hop Song of the Year
    “Fancy” – Iggy Azalea feat. Charli XCX
    “Hold On (We’re Going Home)” – Drake feat. Majid Jordan
    “Loyal” – Chris Brown feat. Lil Wayne & Tyga
    “No Mediocre” – T.I. feat. Iggy Azalea
    “Pills N Potions” – Nicki Minaj
    “Studio” – ScHoolboy Q feat. BJ the Chicago Kid

    Best R&B/Soul Female Artist
    Beyoncé
    Janelle Monaé
    Jennifer Hudson
    Jhené
    Aiko Marsha
    Ambrosius Ledisi

    Best R&B/Soul Male Artist
    Chris Brown
    John Legend
    Kem Pharrell
    Williams Tank
    Trey Songz

    Album of the Year
    Beyoncé – Beyoncé
    G I R L – Pharrell Williams
    Love in the Future – John Legend
    Nothing Was the Same – Drake
    The Electric Lady – Janelle Monaé
    Xscape – Michael Jackson

    Song of the Year
    “All of Me” – John Legend
    “Drunk in Love” – Beyoncé feat. Jay Z
    “Happy” – Pharrell Williams
    “Hold On (We’re Going Home)” – Drake feat. Majid Jordan
    “Love Never Felt So Good” – Michael Jackson feat. Justin Timberlake
    “Loyal” – Chris Brown feat. Lil Wayne and Tyga

    The Ashford and Simpson Songwriter’s Award
    “All of Me” – John Legend (Toby Gad, John Stephens, Dave Tozer)
    “Happy” – Pharrell Williams (Pharrell Williams)
    “Pretty Hurts” – Beyoncé (Joshua Coleman, Sia Fuller, Beyoncé Knowles)
    “Stay With Me” – Sam Smith (Steve Fitzmaurice, James Napier, William Phillips, Sam Smith)
    “The Man” – Aloe Blacc (Khalil Abdul-Rahman, Sam Barsh, Aloe Blacc, Elton John, Daniel Seeff, Bernie Taupin) “The Worst” – Jhené Aiko (Jhené Aiko Chilombo, Mac Robinson, Brian Warfield)

    Best Dance Performance
    “2 On” – Tinashe feat. ScHoolboy Q
    “Electric Lady” – Janelle Monáe
    “Good Kisser” – Usher
    “Loyal” – Chris Brown feat. Lil Wayne & Tyga
    “Talk Dirty” – Jason Derulo feat. 2 Chainz
    “Turn Down for What” – DJ Snake & Lil Jon

    Best Collaboration
    Chris Brown feat. Lil Wayne & Tyga – “Loyal”
    Chris Brown feat. Usher & Rick Ross – “New Flame”
    Janelle Monaé feat. Miguel – “Primetime”
    Michael Jackson & Justin Timberlake – “Love Never Felt So Good”
    Robert Glasper feat. Jill Scott – “Calls”
    Toni Braxton & Babyface – “Hurt You”

    Video of the Year
    “Drunk in Love” – Beyoncé feat. Jay Z (Hype Williams)
    “Good Kisser” – Usher (Christopher Sims)
    “Happy” – Pharrell Williams (We are from L.A.)
    “New Flame” – Chris Brown feat. Usher (Breezy & Mike Ho)
    “The Man” – Aloe Blacc (Matty Barnes)
    “The Worst” – Jhené Aiko (Danny Williams)

    Best International Performance 
    Davido – “Aye”
    Machel Montano – “Ministry of Road (M.O.R.)”
    Nico & Vinz – “Am I Wrong”
    Sam Smith – “Stay With Me”
    Shaggy feat. Ne-Yo – “You Girl”
    Ziggy Marley – “I Don’t Want to Live on Mars”

    Best Traditional Jazz Performance
    Audra McDonald – “What a Little Moonlight Can Do”
    Gregory Porter – “Hey Laura”
    Kenny Garrett – “Pushing the World Away”
    Monty Alexander – “Concierto de Aranjuez”
    Wynton Marsalis – “Flee as A Bird to the Mountain (Live)”

    Best Contemporary Jazz Performance
    Liv Warfield – “Stay – ‘Soul Lifted’”
    Najee feat. Meli’sa Morgan – “In the Mood to Take It Slow”
    Robert Glasper feat. Jill Scott – “Calls”
    Snarky Puppy – “Lingus (We Like It Here)”
    Terrace Martin feat. Robert Glasper – “It’s Yours”
    Vandell Andrew – “Let’s Ride”

    Best Independent R&B/Soul Performance
    Joe feat. Kelly Rowland – “Love & Sex Pt. 2″
    Kelly Price – “It’s My Time”
    LiV Warfield – “Why Do You Lie?”
    Sebastian Mikael feat. Wale – “Last Night”
    Shaliek – “The Past” Terrace Martin feat. T$,
    Tone Trezure – “You’re the One”

     

  • NYUMBANI LOUNGE YA LADY JD YABADILISHWA JINA

    NYUMBANI LOUNGE YA LADY JD YABADILISHWA JINA

    Mwimbaji kutoka Tanzania Lady Jd ambae pia alikuwa mmiliki wa Nyumbani lounge kupitia akaunti yake ya instagram alipost picha yenye Caption ya maneno inayoashiria kurudi tena kikazi baada ya kimya cha muda mrefu.

    Jide alipost posters ya kuanza kwa show zake pamoja na uzinduzi wa MOG bar & restaurant zamani Nyumbani lounge

    ingawa maswali yamekuwa mengi kuhusu maisha ya ndoa ya msanii huyo lakini hakuna kauli thabiti ya kuthibitisha ukweli wa mambo richa ya kuwepo kwa hoja nyingi mitaani  zinazosababishwa na matukio yanayoendelea hivi sasa katika maisha ya msanii huyu ikiwemo hili la sasa la kubadili jina kutoka Nyumbani lounge kwenda Mog bar & restaurant

    Jide2

     

  • IGGY AZALEA ACHUKIZWA NA SNOOP

    IGGY AZALEA ACHUKIZWA NA SNOOP

    Kupitia mtandao wa instagram Snoop alipost picha ya mremavu wa ngozi (albino) na kuiwekea caption yenye maneno haya “Iggy Azalea no make up,” akimaanisha ni picha ya Iggy azalea bila vipodozi

    kitendo hicho kimemkera Iggy kiasi cha kushindwa kuzuia hasira zake na kuanza kumporomoshea maneno mazito Snoop kwenye mtandao wa Twitter  kwa kudai mara kadhaa Soop amekuwa akituma walinzi wake kuomba kupiga picha na Iggy wanapokutana kwenye shows tofauti.

    rapa huyo wa kike ameongeza kuwa amevunjwa moyo na kitendo kilichofanywa na Snoop ingawa Snoop kwa upande wake hakutoa picha hiyo kwenye ukurasa wake

    iggg
    picha iliyopostiwa na Snoop