Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

SIKILIZA WIMBO WA ALI KIBA ULIOVUJA HELA

Big Fendi, NICK MINAJ BADO YUPO CHINI YA DIRTY MONEY

Aliekuwa meneja wa Msanii Nick Minaji, Big Fendi ameelezea kiundani jinsi alivyokutana na msanii huyo kati ya mwaka 2006 au2007 kupitia mtandao wa MySpace ambapo alimchukua na kumbadilisha…

DIAMOND PLUTNUM AMZAWADIA GARI WEMA SEPETU

Kupitia mtandao wa instagram jana msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul yani Diamond amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake muigizaji Wema Sepetu gari aina ya…

Habari Katika Picha; Tamasha mwembe yanga

    Hi ni baadhi ya Picha ya Matukio katika Tamasha Lilifanyika mwembe Yanga

Sijatoa wimbo wowote mpya “@diamondplatnumz”

Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa… Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata…

Msanii LADY JAY DEE (@jidejaydee) ameula katika michuano ya Kombe la Dunia 2014

Msanii Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ameula katika michuano ya Kombe la Dunia 2014 baada ya kupata nafasi ya kuandaa wimbo kwa a jili ya michuano hiyo mikubwa zaidi…