Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close
Home » Entertanment » VIDEO: ALICHOKISEMA MABESTE KUHUSU KUTEGEWA AJALI NA KUSAMEHE YOTE YALIYOPITA KUPITIA GENGE LA 93.7 EFM

VIDEO: ALICHOKISEMA MABESTE KUHUSU KUTEGEWA AJALI NA KUSAMEHE YOTE YALIYOPITA KUPITIA GENGE LA 93.7 EFM

Kupitia interview aliyoifanya leo kwenye kipindi cha Genge kinachoruka kila siku ya jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana, mkali Mabeste alihusika kwenye Fresh beat leo ambapo alitambulisha wimbo wake mpya Usiwe bubu lakini pia alipata nafasi ya kuzungumzia mawili matatu yanayomuhu yeye na familia yake

unaweza kuitazama interview hiyo hapa lakini pia kusikiliza na kudownload wimbo huo

 

NEW AUDIO: Mabeste – usiwe bubu

Comments

comments