Makamo wa Rais Samia Suluhu amezindua Ukuta wa Bahari Katika Barabara ya Barack Obama

Written by

in

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushoto akiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, January Makamba wakikata utepe
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu, na Waziri, January Makamba wakikagua Ukuta wa Bahari
Wananchi walio hudhuria kwenye uzinduzi huo
Meza kuu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amezindua Ukuta wa Bahari katika barabara ya Barack Obama wenye urefu wa mita 920 ambao umejengwa chini ya ufadhili wa Mfuko wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Dunia. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *