MAPENZI YA NICKI MINAJ NA SAFAREE SAMUELS YAVUNJIKA

MAPENZI YA NICKI MINAJ NA SAFAREE SAMUELS YAVUNJIKA

Like
396
0
Wednesday, 22 October 2014
Entertanment

Ikiwa ni siku kadhaa toka stori za Nicki Minaj na Safaree Samuels mahusiano yao kuyumba, hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kufuatia post zilizotumwa na wawili hao katika muda tofauti huku kila mmoja akiandika maneno yake

0514-nicki-minaj-and-safaree-samuels-sub-instagram-9

 

mahusiano ya wawili hawa yaliyodumu kwa miaka isyopungua kumi na nne (14) kwa sasa hayapo tena, na hii imekuja mara baada ya Safaree Samuels kuonekana amezificha tatoo za Nicki minaj kwenye mwili wake kwa kuchora tatoo nyinginge mpya kwa juu yake kama alivyowahi kufanya Nick Cannon mara baada ya kuachana na Mariah Carrey.

nick

Safaree Samuels

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Nicki Minaj amedai kuwa Safaree Samuels amekuwa na wivu usiodhibitika  juu ya maendeleo ambayo aliyoshiriki kuyatafuta 

 

 

Comments are closed.