Oktoba 14 ni maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa.

Written by

in


Leo Oktoba 14 ni maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwl. Nyerere alifariki dunia 14 Oktoba 1999 katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, mjini London, baada ya kuugua Saratani ya Damu. #NyerereDay –

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *