Rais wa jamuhuli ya muungano wa Tanzania Mh Jakaya mrisho Kikwete amewasili mjini Dodoma leo katika Hafla maalum ya kukabiziwa katiba iliyopendekezwa na bunge maalum la katiba
mheshimiwa Rais amepokelewa katika uwanja wa Jamuhuli mjini Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na aliyekua Spika wa Bunge la Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.


