Simba SC imetwaa taji la VPL msimu wa 2017/18 baada ya aliyekuwa bingwa mtetezi Yanga SC kukubali kipigo cha magoli 2-0 kutoka kwa Tanzania Prisons.
Simba imeshinda kombe hilo mara ya 19. Mara ya mwisho kushinda ilikuwa ni mwaka 2012.

Leave a Reply