Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MKURANGA

Muziki mnene Mkuranga sherehe zilianza na ufunguzi wa mechi ya mpira wa miguu kati kikosi bora kabisa cha E-fm na Mkuranga Veteran ambapo mchezo huo ulimalizika kwa E-fm…

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   03/09/2015 BAADA ya kumalizika kwa Tamasha la muziki mnene Mtaa kwa Mtaa awamu ya kwanza, (Muziki mnene bango) ambapo mashabiki na wasikilizaji…

MAYWEATHER ATAMBA NA MKOKO WA DUNIA

Bondia mwenye tambo zaidi duniani Floyd Mayweather amefanikiwa kununua gari la ndoto zake. Gari hilo ambalo limekua likitajwa na bondia huyo toka mwezi June kwa sasa lipo kwenye…

MUIGIZAJI WA EMPIRE AWEKA HADHARANI ALIWAHI KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

Muigizaji maarufu duniani Terrence Howard amesema amebadilika saana baada ya kutarakiana na aliyekuwa mpenzi wake Michelle Ghent.   Terrence ambae kwa sasa anatamba na series ya Empire amesema…

BWANA E AKIGAWA ZAWADI KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA EFM KIBAHA

Tukipata picha na mashabiki wa EFM maeneo ya Kibaha kuwashukuru na kuwatunza kuwapa zawadi kwa kutusikiliza ikiwa ni maandalizi ya ujio wa Muziki mnene bar kwa bar. Bango la…

NEW VIDEO: WASWAZI FT RICH MAVOKO – NAKOSA IMANI

Wimbo mpya kutoka kundi la Waswazi waliomshirikisha Rich Mavoko Song Nakosa Imani Producer Abba Process Video directed by Adam Juma  

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015

BAADA ya kumalizika kwa Tamasha la muziki mnene Bar kwa bar awamu ya kwanza, na mashabiki kuomba Burudani hiyo iendelea tena, Uongozi Efm umekubali ombi hilo na sasa…

WILL SMITH AKANA KUACHANA NA MKEWE

Will smith amekana uvumi uliosambaa kuwa ametalikiana na mkewe Jada Baada ya taarifa hizo kusambaa kwenye mitandao muigizaji huyu alitumia akaunti ya facebook kufunguka juu ya ukweli wa…

WEASEL KUKAMILISHA NDOTO YA MKEWE KWAKUMJENGEA NYUMBA MKWE WAKE

Mama mzazi wa Samira ambae ni mpenzi wa muimbaji Weasel kutoka Uganda huenda akawa kwenye list ya wazazi wanaojivunia kuwa na watoto wa kike wanaowajali na kuwafanikishia ndoto…

UNAFAHAMU KIASI CHA PESA WALICHOLIPWA SAUTI SOL KWENYE SHOW MBELE YA OBAMA?

Bendi ya muziki wa afro pop kutokea Kenya hivi karibuni imeingia kwenye Headlines za vyombo vikubwa vya habari ulimwenguni baada ya kutumbuiza katika hafla ya chakula cha usiku…