Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

UZINDUZI WA KIPINDI CHA UHONDO TRAVELLTINE MAGOMENI

  Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo Dinna Marios akiwa na wafanyakazi wenzake wa EFM akiitambulisha kanga ya “MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE UPATE MEMA YAKE” pale Traventine Hotel…

MASWALI NA MAJIBU YA MATONYA KWENYE KABALI

kuhusu kuandikiwa ngoma na Tunda Matonya:  Tunda ni mdogo wangu nimemfundisha muziki Kuhusu ulevi wa kupindukia Matonya: Mimi ni mlevi ila sio wa kutupwa na kwa sasa nimeacha…

254 KENYA: POST YA HUDDAH UTATA MTUPU

254: Wakati Sauti Sol wanajiandaa kushusha albam yao “LIVE AND DIE IN AFRICA” Followers wa  mrembo Huddah wamefunguka vikali  kwenye ukurasa wa instagram wa mrembo huyu baada ya…

ZIMBABWE: MSHINDI WA MASHINDANO YA UBAYA KUKUTANA NA UPINZANI MKUBWA

Muandaaji wa mashindano ya Ubaya nchini Zimbabwe maarufu kama Mr Zimbawe bwana David Machowa amesema kwa mara ya kwanza mshindi wa muda wote wa mashindano hayo bwana William…

PICHA: MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015 SMART PARK

Rdj Con Rdj Manz Rdj Skit Rdj Timber

MAELEZO YA PICHA TEGETA

SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM  bado zinaendele.Ijumaa iliyopita ilikuwa zamu ya wakazi wa Tegeta . Burudani ya aina yake  ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa…

VIDEO: VANESSA – NEVER EVER

Vanessa ameshinda tuzo ya Best Female East Africa kwenye Tuzo za AFRIMMA Unaweza kuitazama video ya wimbo mpya wake mpya hapa

SEE YO AGAIN YA WIZ KHALIFA NA CHARLIE PUTH YAFIKISHA WATAZAMAJI BILIONI MOJA

Video ya wimbo wa Wiz Khalifa na Charile Puth “SEE YOU AGAIN” yafikisha watazamaji zaidi ya bilioni moja. Video hii si ya kwanza miongoni mwa video za muziki…

PICHA: MJENGO MPYA WA JAY Z NA BEYONCE

Hizi ni picha za mjengo mpya wa Jay Z na Beyoncé Mjengo huo unapatikana Holmby Hills, kwenye jimbo la California nchini Marekani Wawili hao wametoa kitita cha dola…

MUZIKI MNENE BAGAMOYO

SHANGWE za  muzikimnene  wa 93.7 EFM ,kwa mara nyingine tena ziliendelea ndani ya bagamoyo . Burudani ya aina yake ikiongozw anatimunzimaya EFM ilishushwandaniyamagetimiaAdon lodge. Wakazi  wa bagamoyo walipata…