Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

50 CENT ATAJA SABABU ZA KUSHUKA KWA SERIES YA EMPIRE

Rapa 50 Cent ataja sababu za kushuka kwa idadi ya watazamaji wa Series ya Empire Katika post ambayo haikukaa kwa muda mrefu kwenye ukurasa wake wa instagram 50…

PORSCHE YAJIBU TUHUMA ZA MTOTO WA PAUL WAKER

Kampuni ya magari ya Porsche imezijibu tuhuma za kesi iliyofunguliwa na mtoto wa muigizaji wa Fast & Furious, Paul Walker’ kuwa ajali haikuwa chanzo cha kifo cha baba…

EFM MUZIKI MNENE BAR KWA BAR KIBAHA 2015

93.7 EFM yajinyakulia ushindi baada ya kuwafunga kibaha veterans mabao mawili kwa moja, katika mchezo uliochezwa jumamosi ya juzi katika uwanja wa Tamco kibaha. Mechi hiyo ni baadhi…

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015: E-FM YAILAZA KIBAHA VETERANS 2-1

Muziki mnene bar kwa bar KIBAHA KONTENA burudani imefunguliwa na mechi ya mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kibaha Veterans Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa TAMCO…

MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE

Wakazi wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe 19 mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene. Burudani hiyo ilianza…

BWANA E AGAWA MAFUTA KISARAWE

Wasikilizaji wa 93.7 EFM kisarawe jana walijipatia mafuta ya bure, baada ya bwana E kutoka EFM kupita eneo hilo na kugawa mafuta. Kila mwananchi wa eneo hilo aliye…

UHONDO YAZINDUA SHINDANO LA KHANGA, MILIONI MOJA KUSHINDANIWA

KATIKA kuhakikisha kuwa inamshirikisha msikilizaji wake kwenye kila jambo na hatua inayopiga  93.7 efm, kupitia kipindi chake kipya cha Uhondo ambacho huruka hewani kila siku za Jumatatu hadi…

PICHA: MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MLANDIZI 2015

Shukarani za dahati tunazipeleka Mlandizi kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Muziki Mnene bar kwa bar kwenye viwanja vya First Inn lakini pia kwa kuhudhuria mchezo kati ya E-fm…

PICHA: MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MLANDIZI

Mechi ya mpira wa miguu kati ya kikosi imara cha E-fm na Mlandizi Veteran umemalizika huku matokeo ya mchezo huo ya kiwa ni sare ya bila kufungana. Mchezo…

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MLANDIZI

Baada ya safari kukamilika kutoka Dsm hadi Mlandizi mkoa wa Pwani kikosi cha E-fm kiliwasili salama Mlandizi kikiwa tayari kabisa kukipiga na timu ya Mlandizi Veteran kabla ya…