Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

LULU NA RICHIE WANG’ARA TUZO ZA AMVCA2016

Waigizaji wa filam Kutoka Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) na Single Mtambalike Richie wamefanikiwa kubeba tuzo moja moja kwenye kilele cha Africa Magic Viewers Choice awards. Richie ndie alikuwa…

TAMASHA LA MCHIZI WANGU LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

93.7 Efm Radio,kuadhimisha tamasha kubwa la Mchizi wangu lililofanyika siku ya wapendanao tarehe 14/02/2016, likiongozwa na mziki wa mchiriku na singeli. Tamasha hilo lilisheheni Wasani kibao wakitumbuiza huku…

ELITREA: WANAUME WAPEWA AGIZO LA KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA, KIFUNGO CHA MAISHA KUWAKABILI WATAKAOPUUZA

Wanaume nchini Elitrea wamepewa amri ya kuoa angalau wake wawili au zaidi kwa kila mwanaume huku adhabu ya kifungo cha maisha jela kutolewa kwa atakaekaidi amri hiyo ya…

NEW MUSIC: DREAM – NIMESHAZAMA

Baada ya kufnya vizuri na track yake ya kwanza kama  solo artist, Dream ameachia wimbo mpya unaweza kuusikiliza na kuupakua hapa Wimbo umetayarishwa na Abbah katika studio za…

NEW YEAR EVE PARTY YA DRAKE YAWAUNGANISHA LIL WYNE NA BIRDMAN

New Year’s Eve party ya Drake yawaunganisha Lil Wayne na Birdman, Huenda mwaka mpya wa 2016 ukawa ndio mwisho wa beef kati ya wawili hawa. Rais wa Young…

DON JAZZY ATANGAZA KUACHA KUIMBA IFIKAPO 2016

Tukiwa ukingoni mwa mwaka 2015 CEO wa Mavin Records, Don Jazzy ametangaza kustaafu kuimba Muziki na kuendelea na shughuli za uandaaji ifikapo mwaka 2016. kupitia ukurasa wake wa…

RAIS AAGIZA MAPROMOTA WA SHOW YA ENRIQUE IGLESIAS KUSHUSHIWA KICHAPO

Rais wa Sri Lanka Maithripala Sirisena  ametoa ya moyoni kwa kutaka waandaji wa show ya Enrique Iglesias kushushiwa kichapo kizito. Hatua hii ya Rais Sirisena imekuja baada ya…

MAKAPU YA SIKUKU HAYABEBEKI YALIVYOSHEHENI MAZAGAZAGA

Kituo bora cha radio 2015 E-fm leo kimekabidhi zawadi ya makapu yaliyosheheni bidhaa za vyakula kuelekea sikukuu ya Christmas Zoezi hili liliwataka wasikilizaji wa E-fm kusikiliza mlio wa…

MSIMU WA SIKUKUU KUWAUNGANISHA WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE

Wiz Khalifa na Amber Rose wamethibitisha kuwa msimu wa sikukuu huunganisha familia pamoja. Wawili hawa wameweka tofauti zao pembeni na kutoka pamoja mapema jumatano iliyopita ikiwa ni sehemu ya kuonyesha mapenzi…

NEW VIDEO: JUX ONE MORE NIGHT

Video hii imeongozwa na Justin Campos