RONALDO AMBWAGA MESSI KWA MWAPATO 2015

RONALDO AMBWAGA MESSI KWA MWAPATO 2015

Like
381
0
Tuesday, 12 July 2016
Entertanment

cristiano-ronaldo-2014-celebration-1434542525-800

Christiano Ronaldo ndiye mwanamichezo anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes.

Ronaldo ameorodheshwa katika nafasi ya 4 akiwa na jumla ya mapao ya dola milioni 88.($88m (£67m)

Licha ya kuzoa taji la mchezaji bora duniani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha miezi 21 kwa kukwepa kulipa kodi, mshambulizi wa Argentina na Barcelona ya Uhispania Lionel Messindiye mwanamichezo wa pili katika orodha hiyo.

Messi ameorodheshwa katika nafasi ya 8 akiwa na mapato ya takriban dola milioni themanini na moja u nusu.($81.5m (£62.1m)

Mwanamuziki nyota wa Marekani Taylor Swift ndiye anayeongoza katika mapato.

Totoshoo huyo alijizolea takriban dola laki moja na sabini mwaka uliopita. $170m (£130m)

Orodha ya watumbuizaji tajiri zaidi mwaka wa 2015.

1. Taylor Swift – $170m (£130m)

2. One Direction – $110m (£84.6m)

3. James Patterson – $95m (£72.3m)

4. Cristiano Ronaldo – $88m (£67m)

6. Kevin Hart – $87.5m (£66.6m)

7. Howard Stern – $85m (£65.4m)

8. Lionel Messi – $81.5m (£62.1m)

9. Adele – $80.5m (£61.9m)

10. Rush Limbaugh (US ) – $79m (£60.1m)

Comments are closed.