Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close
Home » Article » TAFRIJA YA MWANAMKE WA SHOKA YAELIMISHA WANAWAKE WENGI

TAFRIJA YA MWANAMKE WA SHOKA YAELIMISHA WANAWAKE WENGI

Katika kuelekea siku ya wanamke duniani EFM radio yakutanisha wanawake kutoka vikundi mbalimbali vya ujasiliamali na VICOBA kutoka jiji la Dar es Salaam na Pwani katika ukumbi wa litostar park Salasala,  kwa lengo la kuwapa wanawake elimu ya ujasiliamali na kujitambua kama mwanamke, pia kuambiana changamoto tofauti zinazowakabili wanawake katika biashara zao na maisha kwa ujumla. Mgeni rasmi akiwa raisi wa VICOBA mhe.Devotha Likokola.

index

Mgeni rasmi mhe. Devotha Likokola akiongea na wanawake wa vikundi mbalimbali kuwapa      ​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​elimu ya kujitambua

2

Mjasiriamali Ester Dalali akizungumzia jinsi alivyoanza adi alipofikia

3

Mmoja wa msemaji wa kampuni ya Graca Machel akizungumza na wanawake

4

Wanawake wa vikundi mbalimbali katika tafija hiyo wakibadilishana mawazo na mh. Devotha Likokola

5

Wanawake walioshiri katika tafrija hiyO

6

Mh. Devotha Likokola akikata keki

7 8 9

Baadhi ya wanawake kutoka vikundi mbalimbali wakilishwa keki na Mh. Devotha Likokola

10

Mh. Devetha Likokola akipokea tuzo  ya mwanamke wa shoka kutoka kwa mtangazaji wa Efm radio katika kipindi cha uhondo Dina Marios

msosi

Mda wa maakuli ukafika

shangwe

Jahaz modern Taarab iliwainua wamama kwenye viti vyao kwafuraha

 

 

Comments

comments