VIDEO: TAZAMA TRAILER YA WIMBO MPYA WA JAGUAR

Written by

in

, ,

Mkali kutokea Kenya hutmaker wa ngoma ya Kigeugeu, Kioo na nyingine kibao hivi karibuni anatarajia kuachia mzigo mpya unaokwenda kwa jina la huu mwaka.

Jaguar mapema hapo jana alishea kipande cha video ya wimbo huo iliyofanywa chini ya kampuni ya Godfather

jaguar 2 jaguar3 jaguar4

 

http://instagram.com/p/zPGc7zpacx/?modal=true&utm_source=partner&utm_medium=embed&utm_campaign=video