Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close
Home » Slider » BARCELONA YARIPOTIWA KUFIKIA MAKUBALIANO NA JAVIER MASCHERANO

BARCELONA YARIPOTIWA KUFIKIA MAKUBALIANO NA JAVIER MASCHERANO

Klabu ya Fc Barcelona imerepotiwa kufikia makubaliano na mlinzi wake ‪Javier Mascherano‬ juu ya kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa miaka mitatu zaidi kutoka kwenye mkataba wake wa awali.
Taarifa hizi huenda zikazima ndoto ya mambingwa wa Serie A ‪ Juventus‬ ambayo ilikuwa ikimnyatia baada ya kumsajili Dani Alves‬ kutoka klabu ya Barcelona.

Comments

comments