Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

NEW VIDEO: OMMY DIMPOZ WANJERA

Haya ndio majibu ya maswali ya muda mrefu kuhusu picha za mahaba zilizokuwa zikisambazwa na kuzua maswali iwapo kuna ukweli kwamba Ommy Dimpoz na Wema ni wapenzi. mbali…

NICK CANNON: MARIAH CAREY ANAUZA NYUMBA BILA KUNISHIRIKISHA

Nick Cannon adai aliekuwa mkewe Mariah Carey hakumuhusisha na jambo lolote kwenye mjadala wa kuuza nyumba. Nick ameeleza kuwa meneja wao anaehusika na mambo yote ya kibiashara ndie…

PICHA: UJAUZITO SI KIKWAZO KWA TIWA SAVAGE AFANYA BONGE LA SHOW UGANDA

Tiwa Savage  richa ya kuwa sasa anaujauzito upatao miezi tena ila kwake haikuwa kikwazo kutua nchini Uganda na kuafanya bonge la show kwenye Airtel Inspiring Women Concert na kushiriki…

MEXICANA LACAVELA KUJA NA BIASHARA!!!!

Kutoka kwenye kundi lililowahi kufanya vizuri Mexcana Lacavela na baadae kuvunjika kimya hivi karibuni kumekuwapo na tetesi za kuwa kundi hilo limerudi tena kwa kuwakutanisha member wake kwenye…

PICHA: JUSTIN BIEBER AHAMIA KWENYE MJENGO MPYA

Justin Bieber ahamia kwenye mjengo mpya wenye hadhi ya kipekee huko Beverly Hills Calfonia Wadadisi wa mambo huko marekani wanaitaja hatua hiyo ya msanii huyo kuwa ni kama…

BRIT AWARDS 2015: MADONNA AANGUKA JUKWAANI

Mkongwe katika tasnia ya muziki duniani Madonna amepatwa na mkasa huo wakati anatumbuiza kwenye maonyesho ya ugawaji wa tuzo za Brit kwa mwaka 2015. Katika tuzo hizo Sam…

TUZO ZA OSCAR: VAZI LA X- WA CRISTIANO RONALDO LAZUA UTATA

Kama haukubahatika kutazama sherehe za ugawaji wa tuzo za Oscar huko Marekani basi hii inakuhusu Tuzo hizo za awamu ya 87 za Oscar zilifanyika February 22, 2015, huko…

NEW AUDIO: WASWAZI KIJIJI

Kutoka kwenye kundi la Waswazi, baada ya kufanya powa na wimbo wa Jirani wamerudi tena na wimbo huu Waswazi Song: Kijiji Produced by Abba Studio: Vipaji Tz

VIDEO: P SQUARE FT DON JAZZY – COLLABO

kwa wale watumiaji wa mtandao wa instagram wenye kuwafollow mapacha kutokea nchini Nigeria P square hivi karibuni wamekuwa wakipost picha nyingi wakiwa nchini Afrika kusini sasa hiki ndicho…

MHARIRI MKUU WA EFM ALIPOTEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA NGORONGORO

Mhariri mkuu wa Efm radio scholarstica mazula alipotembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa mwaliko wa hifadhi hiyo pamoja na wahariri wengine kutoka vyombo mbalimbali vya habari