HABRE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

HABRE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

Like
292
0
Monday, 30 May 2016
Global News

ALIYEKUWA rais wa Chad Hissene Habre amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa wa ngono.

Habre alihusika moja kwa moja katika uhalifu huo ambao ulifanyika wakati akiwa rais wa Chad.

Waathiriwa waliokuwa ndani ya mahakama wakati wa kusomwa kwa hukumu hiyo mji Dakar nchini Senegal, wameshangilia wakati jaji alipomaliza kusoma hukumu.

Comments are closed.