MTANZANIA ALIYEGUNDUA UMUHIMU WA KUFUGA FUNZA NA MENDE

MTANZANIA ALIYEGUNDUA UMUHIMU WA KUFUGA FUNZA NA MENDE

Like
456
0
Tuesday, 18 October 2016
Slider

Mtanzania Riula Daniel amebuni mradi wa kutengeneza chakula cha mifugo kwa kutumia mende na funza badala ya kutumia soya na dagaa bidhaa ambazo zimekuwa zikipanda katika soko kufuatia mahitaji yake kupanda.

Comments are closed.