Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close
Home » Slider » TOM OLABA AAGANA NA RUVU SHOOTING BAADA YA KUIRUDISHA LIGI KUU

TOM OLABA AAGANA NA RUVU SHOOTING BAADA YA KUIRUDISHA LIGI KUU

Kocha mkuu wa Ruvu Shooting, Mkenya Tom Alex Olaba aagana na uongozi wa klabu hiyo, akizungumza kupitia Sports headquarters Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwile amesema uongozi wa Ruvu Shooting umetoa pongezi zao pamoja shukrani kwa kocha huyo aliyeirudisha Ruvu Shooting kwenye ligi kuu aidha ameongeza kuwa kwa sasa klabu hiyo itaongozwa na kocha mzawa mwenye uzoefu na klabu hiyo.

Comments

comments