TAMISEMI: JIANDIKISHENI KWENYE DAFTARI LAKUDUMU LA WAPIGA KURA

TAMISEMI: JIANDIKISHENI KWENYE DAFTARI LAKUDUMU LA WAPIGA KURA

Like
308
0
Friday, 23 January 2015
Local News

SERIKALI imesema imeandaa mkakati maalumu wa kuwaelimisha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura.

Mkakati huo utatekelezwa kupitia Halmashauri zote nchini na kwamba, itakuwa ni fulsa kwa wananchi kuona umuhimu wa kupiga kura.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Tamisemi, mheshimiwa Hawa ghasia, wakati akizungumza kwenye kikao cha sita cha shirikisho kati ya Tanzania bara na Zanzibar kinachofanyika mjini Morogoro.

 

Comments are closed.