18 WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA MAFURIKO TEXAS MAREKANI

18 WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA MAFURIKO TEXAS MAREKANI

Like
225
0
Tuesday, 26 May 2015
Global News

JUMLA ya watu kumi na nane wamepoteza maisha kutokana na mafuriko makubwa yaliyotokea maeneo ya Magharibi mwa Marekani na Kaskazini mwa Mexco.

Taarifa zaidi zinasema kuwa wengi wa waliothibitishwa kufariki dunia kutokana na mafuriko hayo ni kutoka mpakani mwa Mexco katika mji wa Acuna ambapo watu 3 wamefariki na wengine 12 hawajulikani walipo.

Hata hivyo Gavana wa jimbo la Texas GREG ABBOTT amesema kuwa mafuriko hayo yameleta madhara makubwa katika jimbo lake hususani uharibifu wa makazi ya watu.

Comments are closed.