Like
516
0
Saturday, 03 October 2015
Slider

Mapenzi ya dhati tumeyashuhudia katika mji wa kihistoria wa Bagamoyo kwenye mchezo wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Bagamoyo veterani.

mchezo huu ulichezwa katika uwanja wa Mwanakalenge hapa Bagamoyo

Tunatoa pongezi kwa Bagamoyo Veterani kwa ushindi wa goli 1-0

Burudani inahamia ADON LODGE MAGETI MIA KWENYE MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015
Leo muziki utaongea kwenye viwanja hivi kwakuwakutanisha Rdj’s na watangazaji wa efm
‪#‎MuzikiMnenebarkwabar2015‬ ni bure hakuna kiingi

MATUKIO KATIKA PICHA

DU7C0876

KIKOSI CHA E-FM KWENYE PICHA YA PAMOJA

DU7C0890

KIKOSI CHA BAGAMOYO VETERAN KWENYE PICHA YA PAMOJA

DU7C0896

 

 

DU7C0983

DU7C0985

 

DU7C0989

DU7C0991

DU7C1032

DU7C1114

DU7C1117

DU7C1120

DU7C1158

DU7C1174

DU7C1233

 

DU7C1259

DU7C1261

DU7C1275 (2)

 

Comments are closed.