EFM, DTB BANK, BONGO MOVIE NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KINONDONI WAKIFANYA USAFI SIKU YA UHURU

EFM, DTB BANK, BONGO MOVIE NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KINONDONI WAKIFANYA USAFI SIKU YA UHURU

Like
951
0
Wednesday, 09 December 2015
Local News

E-fm na DTB Bank kwa kushirikiana na na Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Mh. Paul Makonda pamoja na waigizaji wa Bongo Movie na wananchi wa wilaya ya Kinondoni  leo wametekeleza agizo la Rais Mh. John Pombe Mgufuli  kwa kuitumia siku ya maadhimisho ya uhuru kufanya usafi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi.

Usafi huu ulianzia eneo la Kinondoni Moroco hadi magomeni ambapo Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu pia alijumuika kufanya usafi ikiwa ni pamoja na kufanya ukaguzi wa eneo husika.

1

Msafara wa makamu wa Rais ulipowasili eneo la Kionondoni Moroco

2

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh.Paul Makonda akitoa maelezo kwa makamu wa Rais

3

HAPA KAZI TU, “naona aibu  kuishi na Uchafu”, USAFI  UANZE NA MIMI” makamu wa Rais akifanya usafi pamoja na Mh. Paul Makonda

4

Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa E-fm, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni na Makamu wa Rais

6

Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa E-fm

5

Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa DTB Bank na Makamu wa

7

Jb kutoka Bongo Movie akitekeleza agizo la kufanya usafi

8

Ssebo na wafanyakazi wa DTB Bank wakifanya usafi eneo la Kinondoni Kanisani

9

Wananchi wa wilaya ya Kinondoni na wafanya kazi kutoka kampuni ya Ulinzi wakiendelea kufanya usafi

10

Mdau wa mazingira akigawa asali wakati usafi ukiendelea

11

Usafi ukiendelea kufanyika

12

Ssebo akihojiwa na wanahabari

13

E-fm, Dtb Bank, Bongo Movie na wananchi wakimalizia usafi

14

Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa E-fm

 

 

Comments are closed.