2015 YAPOKELEWA KWA KISHINDO

2015 YAPOKELEWA KWA KISHINDO

Like
283
0
Thursday, 01 January 2015
Global News

MWAKA MPYA wa 2015 umepokewa kwa kishindo katika maeneo mbali mbali duniani na barani Afrika.

Nchini Nigeria kumekuwa shamra shamra ambapo kwa mara ya kwanza mafataki yalirushwa katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo lenye waislamu wengi.

Shamra shamra hizo zimefanyika katika kituo cha michezo katika mji wa Kano ambapo waliohudhuria ni wale waliopata mwaliko pekee.

 

Comments are closed.