23 WAUAWA BAADA YA KAMBI YA JESHI KUPOROMOKA URUSI

23 WAUAWA BAADA YA KAMBI YA JESHI KUPOROMOKA URUSI

Like
261
0
Monday, 13 July 2015
Global News

TAKRIBAN wanajeshi 23 wa Urusi wameuawa karibu na mji wa Omsk ulioko Siberia baada ya jengo la kambi ya kijeshi kuporomoka.

Wanajeshi wengine 19 waliokolewa kutoka ndani ya  vifusi vya jengo hilo.

Mwanajeshi mmoja aliyeokolewa ameileza runinga ya Urusi kwamba wanajeshi walikuwa wamelala wakati wa ajali hiyo.

Comments are closed.