265 WAOKOLEWA KATIKA FERI ILIYOWAKA MOTO HUKU WENGINE 200 WAKISALIA

265 WAOKOLEWA KATIKA FERI ILIYOWAKA MOTO HUKU WENGINE 200 WAKISALIA

Like
362
0
Monday, 29 December 2014
Global News

Wafanyakazi wa shughuli za uokozi wamefanikiwa kuwaokoa watu 265 kutoka ndani ya feri inayowaka moto ikiwa kwenye bahari kati ya Italia na Ugiriki na bado watu wengine 200 wamebaki ndani ya feri hiyo iitwayo Norman Atlantic.

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa Helikopta zimekuwa zikiwavuta watu kutoka feri hiyo iliyoshika moto Desember 28 mwaka huu

KIIIIV KIVUKO KIVUKO2

 

Comments are closed.