50 CENT ATAJA SABABU ZA KUSHUKA KWA SERIES YA EMPIRE

50 CENT ATAJA SABABU ZA KUSHUKA KWA SERIES YA EMPIRE

Like
427
0
Monday, 05 October 2015
Entertanment

Rapa 50 Cent ataja sababu za kushuka kwa idadi ya watazamaji wa Series ya Empire

Katika post ambayo haikukaa kwa muda mrefu kwenye ukurasa wake wa instagram 50 Cent ambae amekuwa na mgogoro na kituo cha Fox akiwatuhumu kuiba wazo lake la kutengezeza series hiyo ametaja Series hiyo kutawaliwa na matukio mengi ya mapenzi ya jinsia moja kuwa miongoni mwa vitu vinavyoiporomosha.

Wakati Series ya Empire inatatambulishwa rasmi ilitajwa kuwa na idadi ya watazamaji milioni 16 lakini idadi hiyo imeshuka hadi kufikia milioni 13.7 wakati msimu wa pili unatambulishwa

Comments are closed.