NICK CANNON ATATUA UTATA WA TATOO YA MARIAH CAREY MGONGONI MWAKE

NICK CANNON ATATUA UTATA WA TATOO YA MARIAH CAREY MGONGONI MWAKE

Like
421
0
Tuesday, 07 October 2014
Entertanment

Nick Cannon ameondoa utata wa tatoo aliyochora yenye jina la aliekuwa mpenzi wake Mariah Carey

NickCannon_tattoo

Nick amefunika tatoo hiyo na tatoo nyingine iliyochorwa kwa juu ya ile ya mwanzo yenye jina la Mariah Carey tatoo ambayo ilizua maswali mengi mara baada ya wawili hao kutengana.

mkali huyo ameendelea kumake headlines mara baada ya kumsainisha mikataba Amber rose na kuwa chini ya kampuni yake

Comments are closed.