Msanii kutoka Nigeria anaefanya vizuri kwa sasa kwenye tasnia ya muziki kwa sasa Iyanya maarufu kama Mr. Kukere jina lililotoka kwenye wimbo wake.
hivi karibuni timu nzima ya Triple MG record label na wasanii wke akiwemo Iyanya wapo nchini Uingereza kwenye tour maalum ya kimuziki ambapo wasanii na mashabiki kwa pamoja walijumuika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya msanii huyo,
wengine ambao walikuwepo kwenye eneo hilo ni pamoja na mwimbaji Emma Nyra pamoja na meneja wa Iyanya Ubi Franklin.
tazaama baadhi ya picha hapa