WANANDOA WAUAWA KIKATIRI MARA

WANANDOA WAUAWA KIKATIRI MARA

Like
273
0
Friday, 26 December 2014
Local News

WANANDOA wawili akiwemo mwanaume ambaye ni Mlemavu wa Macho wameawa kwa kukatwatwa mapanga na watu wasiojulikana na kisha kuchukuliwa baadhi ya viungo vyao katika kitongoji cha Mwabasabi,Wilayani Bunda Mkoani Mara.

Wanandoa hao wameuawa saa mbili Usiku wakati wakitoka maeneo ya katikati ya kijiji hicho kusaga Nafaka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara PHILIPO KALAGI amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Comments are closed.