WAZIRI WA NISHATI NA MADINI ATEMBELEA MIRADI YA UMEME MARA

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI ATEMBELEA MIRADI YA UMEME MARA

Like
310
0
Tuesday, 30 December 2014
Local News

WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa SOSPETER MUHONGO ametembelea Miradi ya umeme katika Vijiji mkoani Mara.

Lengo la kutembelea Miradi hiyo ni kuhakikisha inakamilika mapema mwakani.

Akizungumza wakati wa ukaguzi huo Profesa MUHONGO amesema Serikali imeamua kupeleka umeme Vijijini kwa lengo la kufuta Umasikini ikiwa ni pamoja na kuboresha Sekta ya Elimu kwa Shule za Sekondary za Kata ambazo ndio mkombozi kwa wananchi wengi wanaoishi vijijini.

Comments are closed.