NSSF YATOA MILIONI 2 KWA FAMILIA YA MAREHEMU GURUMO

NSSF YATOA MILIONI 2 KWA FAMILIA YA MAREHEMU GURUMO

Like
328
0
Tuesday, 30 December 2014
Local News

MFUKO WA TAIFA wa Hifadhi za Jamii nchini-NSSF umetoa Shilingi Milioni 2 kwa familia ya ya Marehemu MUHIDINI GURUMO ikiwa ni mojawapo ya njia ya kuthamini mchango wa marehemu Enzi za Uhai wake kupitia shughuli zake za Muziki.

Akiwasilisha fedha hizo kwa Familia ya ya Marehemu GURUMO leo jijini Dar es salaam Afisa Uhusiano Mwandamizi wa mfuko huo JUMA KINTU amesema fedha hizo zitakuwa chachu ya kuiwezesha Familia ya marehemu GURUMO kujiletea Maendeleo na Kuisadia jamii.

Comments are closed.