UTAFITI UNAONYESHA KUWA UGONJWA WA SARATANI NI MATOKEO YA BAHATI MBAYA

UTAFITI UNAONYESHA KUWA UGONJWA WA SARATANI NI MATOKEO YA BAHATI MBAYA

Like
338
0
Friday, 02 January 2015
Global News

Utafiti mpya umeeleza kuwa aina nyingi za Ugonjwa wa Saratani ni matokeo ya bahati mbaya, kuliko malezo ya Vinasaba, Mazingira na Mtindo wa maisha.

Watafiti nchini Marekani wamechunguza aina 31 za Saratani na kugundua kwamba Theluthi Mbili zimesababishwa na mgawanyiko holela wa Seli.

Taarifa zaidi zimefafanua kuwa kwa mgawanyiko wa kila seli kuna hatari ya mabadiliko yanayoweza kusababisha saratani.

Comments are closed.