MADEREVA WA BODABODA WATAKIWA KUSHIRIKI KUPIGA VITA UHALIFU

MADEREVA WA BODABODA WATAKIWA KUSHIRIKI KUPIGA VITA UHALIFU

Like
240
0
Monday, 05 January 2015
Local News

VIJANA HUSUSANI Waendesha Bodaboda wametakiwa kushiriki katika masuala ya kupiga vita uhalifu nchini ili kupunguza matukio ya uvunjifu wa Amani pamoja na kuendeleza jitihada za kuliletea Taifa maendeleo.

Ushauri huo umetolewa na SIMBA MOHAMED SIMBA ambaye amemwakilisha Mwenyekiti wa Jukwaa la Tiba Asili Tanzania BONIVENTURE MWALONGO wakati akifungua Maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Chama cha Waendesha boda oda wa Magomeni-Kagera jijini Dar es salaam.

Comments are closed.