WANANCHI WENYE HASIRA WACHOMA MOTO NYUMBA TANO IGUNGA

WANANCHI WENYE HASIRA WACHOMA MOTO NYUMBA TANO IGUNGA

Like
349
0
Tuesday, 06 January 2015
Local News

WANANCHI wenye hasira wamechoma moto nyumba tano za mtu anayedaiwa kuwa jambazi sugu katika eneo la Ugurubi wilayani igunga.

Hatua hiyo imesababisha jeshi la Polisi Wilani humo kutumia risasi na mabomu ya machozi kudhiti tukio hilo.

Kutokana na tukio hilo baadhi ya wananchi wamekimbia makazi yao wakiwakwepa polisi kuwakamata baada ya kutuhumiwa kuchoma nyumba za mtu huyo MAHONA MALENDEJA

Comments are closed.