WAKATI UGONJWA wa maradhi ya Ebola ukiendelea kuwa tishio katika baadhi ya nchi Afrika Magharibi, Wataalam wa Afya nao wameendelea kuweka jitihada zaidi kuhakikisha kuwa wanaumaliza ugonjwa huo.
Katika jitihada zao hivi sasa wamebuni mpango wa mawasiliano ya simu ya mkononi wenye mpango maalum inayotoa taarifa kutoka maeneo yaliyokumbwa na Ebola.